Document Type

Report

Department

Institute for Educational Development, East Africa

Abstract

Kifurushi hiki kina zana za utafiti zilizotengenezwa na EdTech Hub, Chuo Kikuu cha Dodoma, Chuo Kikuu cha Aga Khan, na Taasisi ya Elimu Tanzania kwa ajili ya utafiti unaochunguza upanuzi na mabadiliko ya kuendana na mahitaji ya walimu na mazingira ya shule katika utekelezaji wa Mafunzo Endelevu ya Walimu Kazini (MEWAKA) unaojumuisha matumizi ya teknolojia. Katika kuandaa zana hizi, tumetumia zana zilizochapishwa katika awamu ya kwanza ya utafiti huu na mifano kutoka sehemu mbalimbali, kwa kuzingatia mifano mizuri ya utafiti kuhusu elimu. Tunaweka zana hizi zipatikane kwa watafiti wengine na watendaji tukitumai kuwa zitakuwa za manufaa. Zana hizi zinapatikana kwa umbizo linaloweza kuhaririwa ili wengine waweze kuhariri inavyofaa kwao.

Publication (Name of Journal)

EdTech Hub

DOI

10.53832/edtechhub.1097

Creative Commons License

Creative Commons Attribution-Share Alike 4.0 International License
This work is licensed under a Creative Commons Attribution-Share Alike 4.0 International License.

Share

COinS